Uchumi
Kutoa huduma za ushauri wa kitaalamu kwa viwango na ubora wa hali ya juu kwa Halmashauri za Wilaya na wadau wengine kwa lengo la kukuza na kuboresha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa kuzingatia Sera, Sheria na Miongozo ya Serikali.
Uchumi
Sekretarieti ya Mkoa imeendelea kuwa kiunganishi kati ya Serikali Kuu na Mamlaka ya Serikali za Mitaa. Kuanzia Septemba 1997, majukumu yake ni:
Uchumi
Kuwa taasisi bora
na yenye utaalamu wa hali ya juu katika kuwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kuboresha hali ya maisha ya wananchi na utoaji wa huduma kwa jamii.
-
Uchumi
Baada ya kupata Uhuru mwaka 1961, Tanganyika na baadaye Tanzania kupitia uongozi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilijiwekea malengo yake makuu ili kupunguza na kuondokana na madhara yalitokana na ukoloni.
