 |
 |
| MUHTASARI WA MAKADIRIO KWA MWAKA 2008/2009: |
| |
Ili kutekeleza shughuli zilizopangwa kufanyika mwaka 2008/2009, Mkoa uliomba kuidhinishiwa jumla ya shs. 74,080,170,224 kama ifuatavyo: |
| |
| Bajeti kwa Matumizi ya Kawaida |
| |
Mwaka 2008/2009 Mkoa unapendekeza kutumia Tshs. 54,745,625,224 kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za kawaida za Serikali.
Serikali Kuu itatumia Tshs. 5,145,570,396 na Ruzuku kwa Serikali za Mitaa ni Tshs. 49,600,054,828.
Kati ya fedha hizo; Tshs. 42,765,658,224 ni makadirio ya Mishahara (P.E) na Tshs. 11,979,967,000 ni bajeti ya matumizi mengineyo (O.C.). |
| |
| PROGRAMU/ MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOTEKELEZWA KWA BAJETI YA 2008/2009 |
| |
Kiasi cha Tsh. 19,334,545,000/=/= kimeombwa kitumike kwa utekelezaji wa miradi ya Maendeleo. Kati ya fedha hizo Fedha za hapa (Local funds ) Tsh. 2,080,167,000/= na
Fedha za nje ni Tsh. 17,254,378,000/= .
Miradi chini ya Sekretariet ya Mkoa itatumia Jumla Shilingi 1,465,347,000 ambazo Fedha za hapa (Local 1,076,217,000 na Fedha za nje (Foreign) 389,130,000,000
Kufuatia lengo la Serikali la kupeleka madaraka na rasilimali zaidi kwa wananchi (Decentralization by Devolution); mwaka 2008/09 Serikali za Mitaa zitatekeleza Programu/Miradi mbali mbali ambazo zimtengewa Jumla ya Tshs 17,869,198,000 ambazo Fedha za hapa (Local) Tshs 1,003,950,000 na Fedha za nje (Foreign) Tshs 16,865,248,000 |
| |
| MIRADI CHINI YA SEKTRETARIET YA MKOA |
| |
| Mradi |
Makadirio |
| Ujenzi wa Ofisi ya DC Pangani |
450,000,000 |
| Ujenzi wa nyumba ya Katibu Tawala – Pangani |
90,000,000 |
| Ukarabati majengo ya Serikali |
50,000,000 |
Ukarabati Ofisi za Wakuu wa Wilaya |
60,000,000 |
Ukarabati nyumba za Wakuu wa Wilaya Tanga, Handeni na Lushoto |
160,000,000 |
Uimarishaji Ofisi ya Mkuu wa Mkoa |
90,217,000 |
| Teknolojia ya Habari na Mawasiliano |
70,000,000 |
| Mfuko wa Afya ya Jamii (Health Basket Fund na Health Sector Global Fund na HIV/AIDS) |
310,000,000 |
| |
|
|
| |
| |
| |
| MIRADI YA HALMASHAURI |
| |
| Kufuatia lengo la Serikali la kupeleka madaraka na rasilimali zaidi kwa wananchi (Decentralization by Devolution); mwaka 2008/09 Serikali za Mitaa zitatekeleza Programu/Miradi mbali mbali kama ifuatavyo |
| |
| Mradi/ Program |
Makisio (Tshs) |
| Programu ya kutoa ruzuku ya Maendeleo (Local Government Capital Development Programme) |
3,217,993,000 |
| Programu ya ujenzi wa Barabara (Local Government Road Network (LGTP/VTTP) |
1,748,000,000 |
| Programu ya Uendelezaji Kilimo (Agricultural Sector Dev. Programme)- Basket Fund |
3,599,788,000 |
| Programu ya Hifadhi Misitu (Participatory Forest Management (Finland) |
546,417,000 |
| Programu ya Maendeleo mijini na usimamizi wa mazingira (Urban Dev. And Environmental Management) -Denmark |
304,893,000 |
| Programu ya Uendelezaji Maji Vijijini (Rural Water Supply and Sanitation) -ADF |
3,369,418,000 |
| Programu ya Uboreshaji Huduma za Afya (Health Service Basket Fund) |
2,422,088,000 |
| Mfuko wa Afya ya Jamii (Health Sector Global Fund) |
1,100,000,000 |
| Miradi mingine ya Halmashauri |
1,003,950,000 |
|
| |
|
| |
| Bonyeza Hapa Kusoma Zaidi >> |
|
|
|