JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA - OFISI YA WAZIRI MKUU - TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA      
tanga
 
     
 
     
TAARIFA YA MATOKEO YA DARASA LA SABA MKOA WA TANGA MWAKA 2008
 
Matokeo darasa 7 [ Nyumbani ] au
 
UTANGULIZI
 
Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2008 ulifanyika nchini kote tarehe 10/9/2008 na tarehe 11/9/2008. Mkoa wa Tanga ulikuwa na jumla ya shule za Msingi 811 zilizofanya mtihani huo.
Jumla ya wanafunzi 56,446 wakiwepo Wavulana  28,018 na Wasichana 28,428 walisajiliwa kufanya mtihani huo.   Watahiniwa waliofanya mtihani ni 55,596 wakiwemo Wavulana 27,594 na Wasichana 28,002 sawa na 98.5% ya watahiniwa wote waliosajiliwa
 

KIWANGO CHA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (COMPLETION  RATE)

 
 

Wanafunzi waliomaliza Elimu ya Msingi 2008 walianza Darasa la Kwanza mwaka 2002 wakiwa wanafunzi 75,361 kati yao  Wavulana ni 38,536 na Wasichana ni 36,825.  Idadi hii ikilinganishwa na Watahiniwa waliofanya mtihani ambao jumla yao ni Wanafunzi 55,596, Wavulana wakiwa 27,594 na Wasichana 28,002 inafanya kiwango cha Kumaliza Elimu ya Msingi kuwa sawa na asilimia 73.8

 
WATAHINIWA WASIOFANYA MTIHANI
 
 
Jumla  ya wanafunzi 851 ya watahiniwa wote waliosajiliwa (wavulana 421 na wasichana 430) sawa na 1.5% hawakufanya mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2008 kutokana na sababu mbalimbali.  Sababu hizo ni pamoja na Utoro (wanafunzi 717) mimba (wanafunzi 39), vifo (wanafunzi 31) Ugonjwa (wanafunzi 58) Kuhama (wanafunzi 5 kufukuzwa shule mwanafunzi 1
 
MATOKEO YA MTIHANI
 
 
Jumla ya watahiniwa 31,652 wakiwemo Wavulana 16,874 na Wasichana 14,778 wamefaulu mtihani huu kati ya watahiniwa 55,596 (wavulana 27,594;  wasichana 28,002)  waliofanya mtihani huo.  Hii ni sawa na 56.9%.  KIwango hiki cha kufaulu kimeshuka kutoka   63.8% mwaka 2007 hadi 56.9% mwaka  2008
 

WANAFUNZI KUMI BORA WALIOPATA ALAMA ZA JUU – PSLE 2008

 
 
Katika matokeo ya Kumaliza Elimu ya Msingi mwaka 2008 wanafunzi kumi bora wavulana na wasichana waliopata alama za  juu kimkoa ni kama ifuatavyo
 
WAVULANA
 

S/N

 

NAMBA YA MTAHINIWA

 

JINA LA  MTAHINIWA

 

SHULE YA MSINGI ATOKAYO

WILAYA

 

ALAMA  AZLIZOPATA

KISW

ENG.

MAAR

HIS.

SC.

JML

1

PS.2004094/053

MUSSA  ISSA

MDOTE

MUHEZA

43

40

45

41

49

218

2

PS.2007016/037

MUSA  RUHIMU

MKWAKWANI

TANGA (M)

43

44

46

40

43

216

3

PS.2008026/008

JORAM  JAMES

LUKOLE

KILINDI

41

42

45

44

43

215

4

PS.2004094/076

YASSER  ABDUL

MDOTE

MUHEZA

44

42

40

43

46

215

5

PS.2004161/064

SYLIVESTER  GUTENI

MWAMBAO

MUHEZA

44

41

45

39

46

215

6

PS.2007031/016

FRANCIS C. EDWARD

RASKAZONE  E.M.

TANGA (M)

41

40

45

45

43

214

7

PS.2004161/066

YUSUFU  ATHUMANI

MWAMBAO

MUHEZA

44

42

43

40

45

214

8

PS.2007016/021

ISMAIL  MOHAMED

MKWAKWANI

TANGA (M)

46

40

40

41

45

212

9

PS.2007166/002

ATHUMANI  IDD

MACHEMBA

MUHEZA

37

46

42

42

43

210

10

PS.2007031/002

ABUBAKAR  J.  BAKARI

RASKAZONE  E.M.

TANGA (M)

44

43

40

41

42

210

 
    WASICHANA
 

S/N

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA  MTAHINIWA

SHULE YA MSINGI ATOKAYO

WILAYA

ALAMA  AZLIZOPATA

KISW.

NG.

MAAR.

HIS.

SC.

JML

1

PS.2004074/103

REHEMA  YAHAYA

MAJENGO

MUHEZA

45

39

45

43

46

218

2

PS.2007049/027

GLORY  M. TEMU

INDIAN  OCEAN

TANGA (M)

42

45

46

41

41

215

3

PS.2004161/123

RESTATA  AMOSI

MWAMBAO

MUHEZA

43

41

43

38

44

209

4

PS.2004074/115

ZAINAB  HASHIMU

MAJENGO

MUHEZA

41

39

42

42

43

207

5

PS.2004161/122

RAHABU  MUSSA

MWAMBAO

MUHEZA

42

41

42

39

43

207

6

PS.2004134/041

MARIA  ADRIANO

POTWE MPIRANI

MUHEZA

40

39

45

43

40

207

7

PS.2007031/083

VUMILIA  MHAMALI

RASKAZONE

TANGA (M)

39

43

35

43

46

206

8

PS.2004156/072

JACKLINE  MAKWILO

JAMHURI

MUHEZA

42

34

41

40

49

206

9

PS.2004161/084

BEATRICE  EUSTICE

MWAMBAO

MUHEZA

39

41

42

40

44

206

10

PS.2004161/085

CHAUSIKU  OMARI

MWAMBAO

MUHEZA

39

41

42

40

44

206

 
 
    WATAHINIWA WALIOTUHUMIWA KUSHIRIKI UDANGANYIFU WA MITIHANI – PSLE 2008
 

Mwaka  huu Baraza la Mitihani la Tanzania (BMT) limewafutia matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Watahiniwa Saba (7) kutoka Shule ya Msingi TAULA Wilaya ya Handeni.  Watahiniwa hao walilalamikiwa na baadhi ya Wazazi / Wanakamati wa Shule ya Msingi TAULA kuwa walikuwa wakariri wa darasa la saba 2008 kinyume na utaratibu.  Uchunguzi uliofanyika umethibitisha jambo hilo

 
WANAFUNZI WALIOFUTIWA MATOKEO YAO
 

S/N

NAMBA YA MTAHINIWA

JINA LA MWANAFUNZI

1

PS.2001108/006

HATIBU  RAJABU

2

PS.2001108/023

AZIZA  OMARI

3

PS.2001108/028

HADIJA  YUSUFU

4

PS.2001108/029

MASEFU  ABDI

5

PS.2001108/030

MARIAM  JUMU

6

PS.2001108/038

REHEMA  OMARI

7

PS.2001108/039

ROSE SEBASTIANO

 
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Taula achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kosa la kuwakaririsha wanafunzi kinyume cha taratibu zilizowekwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi
 
UCHAGUZI WA WANAFUNZI KUINGIA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2009
 

NAFASI ZA BWENI/ HOSTEL

 

Mwaka huu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imefuta nafasi za wanafunzi wa Bweni Kawaida.  Hata hivyo  Mkoa wa Tanga umetengewa nafasi 134 kwa wanafunzi watakaoingia Kidato cha Kwanza mwaka 2009 katika Shule ya Hostel ya Mlingano, Sekondari ya Elimu Jumuishi  Korogwe, Shule za Ufaulu mkubwa na Shule za Ufundi

Nafasi hizo zimegawiwa  kila wilaya/eneo kwa kufuata kanuni iliyotolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

 

MSAMBAZO NA MGAWANYO  WA NAFASI ZOTE ZA BWENI UFAULU MKUBWA  NA UFUNDI KIWILAYA

 
WAVULANA

 

S/N

WILAYA

UFAULU MKUBWA

BWENI UFUNDI

ILBORU

KIBAHA

JUMLA

IFUNDA

IYUNGA

TANGA

JUMLA

1

HANDENI

2

1

3

0

2

3

5

2

KILINDI

0

1

1

1

1

1

3

3

KOROGWE (M)

0

1

1

1

0

1

2

4

KOROGWE (V)

3

1

4

0

3

4

7

5

LUSHOTO

7

1

8

2

4

8

14

6

MKINGA

1

1

2

1

1

2

4

7

MUHEZA

2

1

3

1

2

2

5

8

PANGANI

0

1

1

0

0

1

1

9

TANGA (M)

1

1

2

1

2

2

5

10

TANGA (V)

0

1

1

0

1

1

2

JUMLA

16

10

26

7

16

25

48

 

WASICHANA

 

S/N

WILAYA

UFAULU MKUBWA

BWENI UFUNDI

KILAKALA

MSALATO

TABORA WAS

JUMLA

MTWARA

1

HANDENI

1

1

1

3

1

2

KILINDI

0

1

0

1

0

3

KOROGWE (M)

0

0

1

1

0

4

KOROGWE (V)

2

1

0

3

1

5

LUSHOTO

3

3

1

7

2

6

MKINGA

1

1

0

2

1

7

MUHEZA

2

1

0

3

1

8

PANGANI

0

0

1

1

0

9

TANGA (M)

1

1

0

2

1

10

TANGA (V)

0

1

0

1

0

JUMLA

10

10

4

24

7

 

MSAMBAZO WA NAFASI ZA BWENI NA HOSTELI KIWILAYA

 

WASICHANA

 

S/N

WILAYA

MLINGANO

KOROGWE

JUMLA

1

HANDENI

2

1

3

2

KILINDI

1

1

2

3

KOROGWE (M)

0

0

0

4

KOROGWE (V)

4

1

5

5

LUSHOTO

6

2

9

6

MKINGA

2

2

4

7

MUHEZA

2

1

3

8

PANGANI

1

1

2

9

TANGA (M)

0

0

0

10

TANGA (V)

1

1

2

JUMLA

19

10

29

 
NAFASI ZA KUTWA/KULALA NYUMBANI
 

Mkoa wa Tanga una Shule za Sekondari za Kutwa zipatazo 184 hadi kufikia Novemba 2008,  Shule hizi zina uwezo wa kuchukua Jumla ya wanafunzi 26,503 wakiwemo wavulana 13,582 na wasichana 12,921 ambao wataingia Kidato cha Kwanza mwaka 2009 katika shule za sekondari za kutwa zilizomo mkoani

Hadi kufikia tarehe 23 Desemba Mkoa wa Tanga  una shule za sekondari za Kutwa 193, Shule 8 zimepata Usajili  Desemba 2008 shule hizo ni:-  Kang’ata, Kiva, Komsanga, Konje, Msanje, Pangamlima na Sindeni za   Wilaya ya Handeni na Mkomazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe 

Idadi ya wanafunzi watakaoingia Kidato cha Kwanza mwaka 2009 kwa uchaguzi huu wa awamu ya kwanza ni kama ifuatavyo

 

S/N

AINA YA SHULE

WAVULANA

WASICHANA

JUMLA

1

Ufaulu mkubwa

26

24

50

2

Ufundi

48

7

55

3

Hosteli/Bweni

-

29

29

4

Kutwa

13,582

12,921

26,503

Jumla

13,656

12,981

26,637

 

WANAFUNZI WATAKAOKOSA NAFASI ZA KIDATO CHA  I  2009  SEKONDARI ZA SERIKALI

 
Idadi ya wanafunzi waliofaulu na kukosa nafasi za Kidato cha Kwanza 2009, sekondari za serikali ni 5,016 wakiwemo wavulana  3,218 na wasichana 1,798  Hii ni sawa na 16% ya wanafunzi wote waliofaulu
 
Wanafunzi hawa watachukuliwa wote awamu ya pili iwapo tutaongeza kasi ya kupanua shule za kutwa zilizopo
  1. kwa kuongeza mikondo (hadi kufikia mikondo 8).
  2. Kukamilisha ujenzi wa shule mpya.
  3. Kujenga daharia (hostel).
 
Matokeo Darasa la Saba 2009 [ Nyumbani ] au
Rudi juu
 
     
Copyright © 2008 - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Box 5095 Tanga, TEL: 027 - 2642430, FAX: 027-2647752