 |
 |
 |
 |
 |
Katika ukaguzi huo timu zilikutana na uongozi wa Halmashauri na kupata taarifa fupi ya utekelezaji wa miradi kwa mwaka wa fedha 2007/08. Baada ya kupata taarifa hiyo timu zilichagua miradi katika maeneo mbalimbali.
Aidha jumla ya miradi 104 ilikaguliwa yenye thamani ya shilingi xxxx katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri za mkoa wa Tanga. |
| |
| |
| HALMASHAURI YA WILAYA YA PANGANI |
Wilaya ya Pangani jumla ya miradi 15 ilikaguliwa yenye thamani ya shilingi 345,259,099 ambapo jumla ya shilingi 265,259,099 zimetumika.
Hali ya Miradi mingi inaridhisha hasa utekelezaji wa Miradi ya Maji unaenda vizuri sana. Msisitizo ni miradi inayohusisha wannchi ambao uchangiaji wao umekua ni mdogo. |
| |
Utekelezaji |
| Hali ya miradi ilikaguliwa na utekelezaji wake na hatua ilifiyofikia imeonyeshwa kwenye jedwali lifuatalo |
| |
| |
| |
| NA |
MRADI |
FEDHA ILIYOTENGWA |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
MAELEZO YA MRADI |
| 1 |
Ujenzi wa vituo vya kukusanyia maziwa wa chama cha ushirika (WAWAPA). |
40,000,000 |
25,000,000 |
jengo liko kwenye linta. Halmashuri idara ya ushirika wasimamie ukamilishwaji wa mradi |
| 2 |
Ujenzi wa Ofisi ya Kata Pangani magharibi |
14,000,000 |
6,000,000 |
Vyumba 8 vimejengwa viko kwenye linta. Halmashauri imfuatilie Mkandarasi amalizie. |
| 3 |
Ujenzi kituoo cha Uhamilishaji AI |
36,000,000 |
16,000,000 |
Jengo liko usawa wa Linta. Mradi usimamiwe ukamilike kwa ratiba
|
| 4 |
Ujenzi wa Nyumba ya Mkurugenzi wa Wilaya |
50,000,000 |
26,000,000 |
Jengo liko kwenye mtambaa panya. Fedha iliyotengwa inaweza kupungua |
| 5 |
Ukarabati mradi wa Maji Kimang’a |
63,000,000 (ADB 60M, Wilaya 3M) |
Umekamilika |
Mambomba yamelazwa urefu wa km. 7 kutoka Boza (pumping station), tanki la maji lenye ujazo wa lita 23,000 limefanyiwa ukarabati na kupaka rangi na kuweka vituo 3 vya kuchotea maji |
| 6 |
Ujenzi wa nyumba ya Mganga Kigurusimba Madanga |
22,050,400/ TASAF |
Imekamilika |
Ujenzi wa jengo na thamani ya fedha imeonekana |
| 7 |
Ukarabati wa mradi wa maji Mkalamo |
33,448,000 |
Ukarabati wa tanki la maji umefanyika, injini mpya imewekwa, uzio wa seng’eng’e umewekwa, vituo vya kuchotea maji 6 vimejengwa na mabomba yamelazwa. |
| 8 |
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na nyumba 2 za waalimu |
13,400,000 |
Haijakamilika |
Ushiriki wa wananchi ni mdogo katika ujenzi wa madarasa na nyumba za waalimu. Fedha za Capitation zinatumika katika ujenzi tofauti na malengo yake. Ujenzi wa madarasa haupo katika kiwango kinachostahili. |
| 9 |
Ujenzi wa mradi wa Soko Mkalamo chini ya Mkandarasi Bullem Investment. |
20,000,000 |
7,000,000 |
Msingi umekamilika.
Thamani ya fedha iliyolipwa hailingani na kazi iliyotekelezwa. Utekelezaji wa mradi unakwenda taratibu |
| 10 |
Ukarabati wa kituo cha Afya Mwera |
3,641,360
joint rehabilitation fund |
umekamilika |
Usimamizi ulikuwa mzuri na thamani ya fedha imeonekana |
| 11 |
Ujenzi wa vyumba 3 vya darasa Mwera Sekondari |
24,000,000
(CDG) |
Sakafu imeanza kubomoka, mbao zilizotuka kupaua ni laini (soft wood), madirisha hayajawekwa nyavu, madarasa 2 hayana zege kwa ajili ya sakafu |
| 12 |
Ukarabati wa mradi wa maji Mwera |
23,419,339
Quick wins. |
umekamilika |
Ununuzi wa kiwanja, mota mpya, ujenzi wa tanki umefanyika, ukarabati wa vituo 2, kulaza bomba na kufunga bomba za kuingiza na kutoa maji kwenye tanki, kuweka uzio kuzunguka eneo la tanki |
| 13 |
Ukarabati wa barabara ya Bwenimseko |
|
umekamilika |
Uwepo mipango ya muda mrefu ya kuinusuru barabara hiyo isiharibiwe na maji ya bahari |
| 14 |
Ujenzi wa Kizimba cha taka ngumu Mjini |
500,000 (CDG) |
Umekamilika |
Mhandisi Ujenzi aandae ramani za ujenzi wa vizimba vyenye ubora na kukidhi mahitaji ya Mji. |
| 15 |
Ujenzi wa choo cha umma sokoni |
1,800,000 |
1,800,000 |
Shimo la urefu wa m16 limechimbwa, vyoo matundu 5 yamechimbwa na kuta za choo zimepandishwa kwa ngazi 4 na fedha zilizotengwa zimekwisha |
|
| |
| HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA |
| |
Wilaya ya Pangani jumla ya miradi 13 ilikaguliwa yenye thamani ya shilingi 179,643,278 ambapo jumla ya shilingi 164,740,819 zimetumika.
Hali ya Miradi mingi inaridhisha utekelezaji wake. Msisitizo ni miradi inayohusisha ujenzi mara nyingi imekuwa haisimamiwi kwa karibu na Mhandisi wa Ujenzi. Utekelzaji wake unakua chini ya kiwango |
| |
| |
| NA |
MRADI |
FEDHA ILIYOTENGWA |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
MAELEZO YA MRADI |
| 1 |
Ujenzi wa nyumba ya mganga katika kituo cha Afya Mikanjuni |
15,000,000 |
|
Ujenzi haukufuata taratibu wala haukuzingatia mkataba. Baadhi ya kuta zimeanza kupasuka kabla ya mradi kukamilika.
Mkandarasi arekebishe na kukamilisha kazi Vinginevyo Mkandarasi asilipwe “retention” baada ya kukamilisha kazi |
| 2 |
Ujenzi wa madarasa manne Mikanjuni Sekondari |
14,959,159
“CDG” |
|
vyumba vilivyokamilika ni 2 sio 4 kama taairfa ilivyosema.
Taarifa zitolewe kwa usahihi, na madarasa yanatakiwa yakamilike kabla ya Januari 2009 |
| 3 |
Ujenzi wa ofisi ya Kata Mwanzange |
6,767,280
CDG |
|
Jengo liko usawa wa Madirisha
Utekelezaji wake unakwenda taratibu |
| 4 |
Ujenzi wa madarasa 6 Sekondari ya Toledo |
20,230,247
CDG |
|
Madarasa 2 yamekamilika. Madarasa 4 yamepauliwa. Madarsa yakamilishwe kabla ya Januari 2009 |
| 5 |
Uujenzi wa madarasa 5 Sekondari ya Maweni |
8.439,484
CDG |
umekamilika |
Upauaji wa vyumba vilivyojengwa hauko katika viwango
Mhandisi ujenzi kuhakiki hatua za utekelezaji wa mradi |
| 6 |
Ujenzi wa madarasa 4 Sekondari ya Nguvumali |
14,959,159 |
15,856,700 |
Vyumba 2 vimejengwa tofauti na mpango ujenzi wa 4
Maradasa mawili yaliyobakia yajengwe kama mpango ulivyokuwa. |
| 7 |
Ujenzi wa madarasa 3 Sekondari Chumbageni |
13,211,977 |
|
Vyumba 3 vimejengwa. Bado ceiling board na rangi
Kamati imeridhishwa Sehemu zilizobaki zimaliziwe |
| 8 |
Ujenzi wa ofisi ya Kata Central |
5,334,835 |
|
Jengo limefikia usawa wa lenta na fedha zimekwisha
Halmashauri itafute fedha za kumalizia ujenzi |
| 9 |
Kuboresha bustani za Jiji |
20,000,000 (UDEM) |
4,200,000 |
kamati Haukuridhwa na Kazi ya kuboresha bustani.
Jiji liongeze kasi ya ukarabati ili kazi zimalizike kwa wakati |
| 10 |
Ujenzi wa vyoo matundu 20 vya VIP |
13,022,000 |
|
Vyoo matundu 10 vimejengwa na kugharimu kiasi cha Tshs. 9,586,000/= vipo katika hatua ya umaliziaji |
| 11 |
Ujenzi wa ofisi ya kata Makorora |
15,449,137 |
4,000,000 |
Ujenzi wa ofisi upo katika hatua za umaliziaji
Kamati imeridhika na utendaji kazi na hatua zilizofikiwa |
| 12 |
Mradi wa uzalishaji wa kuku wa kisasa kikundi cha Juhudi Mabokweni |
23,500,000 |
23,500,000 |
Ramani iliyotumika katika ujenzi ni tofauti na iliyoandaliwa kutokana na makisio ya Mhandisi. Jengo lina nyufa na umaliziaji bado kukamilika. |
| 13 |
Matengenezo ya kawaida ya barabara km. 10.4 ya Chongoleani
- Mwanyungu na Mpirani |
8,770,000 |
8,770,000 |
Matengenezo yamefanyika kama ilivyopangwa.
Kalavati linahitajika kuwekwa katika barabara sehemu inayokaribia kuingia kijijini Chongoleani |
|
| HALMASHAURI YA WILAYA YA MKINGA |
| |
Katika maeneo ya Mwambao; Duga, Moa n.k, suala la uchangiaji bado linahitaji hamasa kubwa sana. Wakati wa zoezi la ukaguzi, wananchi au kupitia kamati za shule au kamati ya ujenzi, baadhi yao hawaoni umuhimu wa kuchangia ujenzi wa madarasa au nyumba za walimu. Timu ya ukaguzi ya sekretarieti ya mkoa pamoja na wataalamu kutoka Halmashauri ya Mkinga, waliweza kushauri jinsi ya kuchangia kama ifuatavyo:
- Wananchi kama hawana fedha, wachangie kwa mfumo wa kutumia rasilimali walizonazo ili zigeuzwe kwua fedha; mfano kutoa nazi, kuku, n.k. je ni wangapoi watakubaliana na dhani hii?
- Licha cha kuiticha vikao vya kujadili maendeleo yao, wananchi bado wanasita na kutoa visingizio vya kuilaumu Serikali. Mwenyekiti wa Kijiji na Mtendaji wa Kata pamoja na Kamati za shure zione umuhimu wa kujadili kila mara.
|
| |
| NA |
MRADI |
FEDHA ILIYOTENGWA |
FEDHA ILIYOTUMIKA |
MAELEZO YA MRADI |
| 1 |
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika shule ya msingi Manza |
3,600,000 |
3,927,000 |
2,537,500 zinahitajika kumalizia jengoU
Juhudi ya ziada ifanyike kuwahamasisha wananchi kuchangia nguvu zao. |
| 2 |
Ukarabati wa barabara ya Zingibari hadi Mbuluni km.9.0 |
14,650,000 |
|
Katika bajeti ijayo itengwe fedha kumalizia km 3 zilizorukwa na kukarabati sehemu zilizoanza kuharibika ili kuleta tija ya maendeleo |
| 3 |
Ukarabati wa mradi wa maji ya Bomba-Duga Maforoni |
26,000,000 |
21,674,284 |
Bwawa lina maji ya kutosha, lakini eneo hilo lipo wazi na hivyo kamati inashauri bwawa liimarishwe kwa kupanda miti kama vile mikuyu |
| 4 |
Ujenzi wa darasa – shule ya Duga Maforoni |
3,000,000 |
4,000,000 |
2,100,000 ili kumalizia jengo
Msisitizo uwekwe kuchangia kwa fedha ili kukamilisha mradi |
| 5 |
Ujenzi wa ofisi ya kijiji cha Mtakuja |
3,390,000 |
12,547,298 |
thamani ya jengo pamoja na choo haviendani na ‘value for money’. mfano, choo kilithaminishwa kwa gharama ya shilingi 2,950,000/= ambayo haiendani na hali halisi. Serikali ya kijiji itafute namna ya kumalizia ujenzi huo kutoka vyanzo vyake |
| 6 |
Ujenzi wa darasa – shule ya msingi Maramba |
5,607,000 |
4,665,200 |
Mradi huu ni mfano mzuri wa ‘value for money’ kwani kazi ni nzuri sana. Wanatakiwa kupewa kipau mbele kwa miradi mingine ijayo.Ofisi ya mkuu wa mkoa waliahidi kutoa kibali cha kupasua mbao za mlango, kuwekea dari na madawati. |
| 7 |
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu Daluni |
3,600,000 |
|
Msingi wa nyumba upo chini sana na vyumba ni vidogo sana.
Kamati ilishauri Halmashauri isimamie nyumba hizi zijengwe kufuata ramani zilizotolewa Wizara |
| 8 |
Ukarabati wa barabara ya Daluni – Kibaoni - Hemsambia km.6.3 |
13,480,000 |
|
Katika ukaguzi huu hakukuwa na BOQ wala mtaalamu aliyetoa maelezo ya kina kuhusu ukarabati huo. |
| 9 |
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Hemsambia |
3,600,000 |
|
Shule imepewa fedha tangu mwezi Machi 2008, na hadi wakati wa ukaguzi ilikuwa haijaanza kujengwa
wataalamu wa Halmashauri ya Mkinga waweke kambi shuleni kuhamasisha ujenzi wa nyumba ili ikamilike kwa wakati |
| 10 |
Ujenzi wa ghala la mazao -Kata ya Maramba |
36,000,000 |
29,600,000 |
Ghala hili litakuwa na umuhimu wa pekee kwa wananchi wa kata ya Maramba
Wananchi waandaliwe kwa kupata maelezo jinsi mazao yao yatakavyonunuliwa na kuhifadhiwa |
|
| |
| HALMASHAURI YA WILAYA YA KILINDI |
| |
| |
|
|
|
|
| |
|
Kituo cha mabasi Songe |
Utekelezaji upo katika hatua za mwisho,”cape stones” zimeshawekwa,zimeshatumika shilingi milioni 19 kati ya milioni 20 zilizotolewa. |
Ushauri ulitolewa Afisa Mipango wa Wilaya Pangani kwa uzoefu aliokuwa nao wakati alipokuwa “Ubungo Bus Terminal” kwamba wafanye marekebisho katika ”cape stones”zilizowekwa kulingana na idadi ya mabasi yanayoingia. Walishauriwa kuingiza vifaa katika bajeti yao ili kuharakisha utendaji, Ushauri umetolewa wakae na kushauriana kuanza upya na kuingiza katika mpango wa ujenzi wa mradi mwingine Mhandisi wa wilaya aangalie kwa makini sehemu iliyowekwa zege kwani inaonyesha kupitisha maji. Waharakishe kumalizia “finishing’ ndogo ndogo ili watumishi wahamie Miti ipandwe na vyumba vya kilichokuwa chuo cha maendeleo ya wananchi viboleshwe. Waharakishe kujenga vyoo ili boma lianze kutumika. Ushauri ni kwamba h/mashauri ipeleke baadhi ya watumishi Dar es Salaam ili kuangalia mradi wa soko la Temeke Sterio na Makumbusho jinsi wanalivyofanya. |
| |
|
Jengo la upasuaji Songe |
Jengo limeshakamilika,kumebaki umaliziaji mdogo na kuingiza vifaa kama “operation table” na vingine |
| |
|
Wodi ya akina mama Songe |
Mradi huu ni wa miaka ya nyima,ujenzi wake haukufuata ushauri wa kitaalam hivyo msingi wake umepata “cracks” nyingi na imekuwa vigumu kuuendeleza. |
| |
|
Boma la Halmashauri |
Mradi huu bado haujakmilika,wameshapandisha kuta na kumwaga zege sehemu ya katikati.Awamu ya kwanza walipokea shilingi milioni 120 ambayo ilitumika katika kufanya “consultation,design and drawings” ambayo ilipeleka mradi katika “foundation level”,awamu ya pili walipokea shilingi milioni 500 ambayo ilipandisha kuta. |
| |
|
Nyumba za watumishi |
Mradi upo katika hatua nzuri,umeezekwa bado kuweka milango ili watumishi wahamie |
| |
|
Ofisi ya maji |
Mradi umekamilika na baadhi ya ofisi zimeshaanza kutumika kama ofisi ya mhandisi wa maji na mratibu wa TASAF.Zimetumika shilingi milioni 52.Mradi umetengewa shilingi milioni 10 mwaka huu wa fedha kwa aijli ya samani |
| |
|
Mnada wa mifugo |
Mradi umekamilika,umegharimu shilingi milioni 45,ni mradi wa ASDP na LGCDG. |
| |
|
Shule ya msingi-Mafisa Majengo |
Madarasa 3 yamekamilika kwa shilingi milioni 29 pamoja na vifaa vingine |
| |
|
Zahanati ya Kibirashi |
Mradi umefikia hatu nzuri, bado kuwekwa sakafu na kupakwa rangi. |
| |
|
10.Ofisi ya kata |
Boma limefikia hatua ya kuezekwa bado kuwekwa mirango,sakafu na vyoo havijakamilika,mradi umegharimu shilingi milioni 9. |
| |
|
11.Soko la Kwediboma |
Mradi umefikia hatua nzuri.Bado kuweka vizimba,kiasi cha shilingi milioni 44 zimetumika |
|
| |
| |
| HALMASHAURI YA WILAYA YA HANDENI |
| |
| |
|
|
|
|
| |
|
1.Kisima cha Minazini |
Mradi umeshakamilika na unatumika,unasambaza maji maeneo ya magereza,hospitali na eneo la Seuta |
Wafanye “compensation” ili kuongeza eneo na kuangalia ‘contamination ya maji. |
| |
|
2.Tanki la maji Chanika |
Mradi umekamilika na unatumika |
Mhandisi aangalie “wash out’ ili maji yasituame karibu na tanki. |
| |
|
3.Kituo cha mabasi Chogo |
Mradi unaetumika ila bado haujakamilika vizuri kama upande wa mifereji ya kutolea maji. |
Mifereji iwekwe kulingana na hali halisi ya eneo |
| |
|
4.Shule ya Sekondari Handeni |
Jengo limeshaezekwa,bado ‘finishing’ nyingine |
Mchanganyiko wa udongo na seruji katika tofari uwe ni 1 kwa 10-12 |
| |
|
5.Kisima cha Kidereko |
Kisima kinatumika ,wananchi wanapata maji |
Waboreshe mradi ili maji yaweze kwenda juu kwa wananchi. |
| |
|
6.Shule ya Sekondari Kwamnyang’anyo |
Mradi umekamilika,wanafunzi wameshaanza kuingia madarsani |
Waongeze matundu ya vyoo na kuweka milango chooni,wavune maji ya mvua. |
| |
|
7. Shule ya Sekondari Kwaluguru |
Ujenzi wa madarasa 2 umekamilika,ujenzi wa nyumba ya mwalimu upo katika hatua ya msingi |
Wavune maji ya mvua kwa ajili ya kunywa na matumizi mengine,waweke wavu katika bomba zinazotoa hewa nje ili kuzuia nzi |
| |
|
8.Kisima kifupi Kwachaga |
Mradi unatumika,wananchi wanapata maji kwa ‘pumping” |
|
| |
|
9.Soko la Suwa |
Soko limeshapauliwa ila bado halijaanza kutumika. |
Wakaangalie wenzao wa soko la Kwediboma –Kilindi walivyotekeleza ili wapate mifano. |
| |
|
10.Sekondari ya Mazingira |
Madarasa 3 yamekamilika,nyumba ya mwalimu imekamilika na ameshahamia,bweni la wanafunzi limekamilika ila bado kuingiza samani |
Wataalamu wa maji waangalie uwezekano wa kuvuta maji ya bwawa karibu na shule na wajenje tanki kubwa la kuifadhi maji. |
| |
|
11.Soko la Mkata |
Mradi umekamilika pamoja na vyoo navyo vimekamilika.Bado wafanyabiashara hawajaanza kuingia |
Kuongeza “partition”ya vizimba ili soko kuchukua idadi kubwa. |
| |
|
12.Mradi wa maji Kwamnala |
Mradi haujakamilika kutokana na kutokuepo bwawa karibu na tanki lililojengwa. |
Katika vikao vyao waangalie uwezekano wa kutumia “resource”zilizowekwa hapo ‘site”ili zitumike katika miradi mingine kuhepuka wizi wa hizo “resources” kama mabomba |
| |
|
13Soko la Kwedizinga |
Soko limeshapauriwa,bado kuwekwa sakafu. |
Watanue zaidi vizimba ili kuchukua idadi kubwa ya wafanyabiashara |
| |
|
14.Zahanati ya Kwedizinga |
Mradi unatumika |
Wavune maji kukabiliana ta tatizo la maji |
| |
|
15.Umwagiliaji Masatu |
Mradi haujakamilika |
Mradi haujafuata ushauri wa kitaalam,hivyo wameshauriwa kufuata ushauri wa kitaalam na baadae wauombee fedha. |
| |
|
|
|
|
|
| |
| |
Title ya nyinginezo 2 [ Nyumbani ] au |
|
Rudi juu  |
|