Wilaya ya Handeni ni miongoni mwa wilaya nane zinazounda Mkoa wa Tanga ambayo iko magharibi, umbali wa kilomita 187 kutoka makao makuu ya Mkoa.
Wilaya hii ina ukubwa wa kilomita za mraba 7,080 na iko kwenye mwinuko wa mita 200 hadi 800 kutoka usawa wa bahari. Eneo linalofaa kwa kilimo cha mazao mchanganyiko ni hekta 340,470 na kati ya hizo kiasi cha hekta 102,144 ndizo zinazotumika. Kwa upande wa kilimo cha umwagiliaji kuna kiasi cha hekta 3,600 na zinazotumika ni hekta 50 tu. Pia Wilaya inalo eneo la hekta 367,530 linalotumika kwa malisho ya mifugo. Eneo linalobaki ni kwa ajili ya misitu na hifadhi ya wanyamapori ya Gendagenda na Gole
|
Hali ya uchumi wa wilaya siyo wa kuridhisha bali ni ule unaoendelea ambapo asilimia 90 ya wananchi wake wanategemea kilimo cha msimu katika mashamba madogo madogo kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Ili kufikia malengo ya Mkakati wa kukuza Uchumi na Kuondoa Umaskini Tanzania (MKUKUTA) na utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2025, wilaya imeweka mikakati ya kuhakikisha kuwa uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara unaongezeka kwa kila kaya, lengo likiwa kukifanya kilimo kiwe cha kisasa zaidi na chenye tija |
| Wilaya ina jumla ya Tarafa saba (7), kata 19, vijiji 112 na kaya 52,240 |
| Tarafa |
Kata |
Vijiji |
Idadi ya Kaya |
Idadi ya Watu 2002 |
Mkumburu |
Segera |
Jitengeni, Mandera, Masatu, Maili Kumi, Chang'ombe, Segera, Michungwani |
|
14,948 |
| |
Kwedizinga |
Kwedizinga,
Ugweno,
Bondo,
Ngojoro,
Kwamgwe,
Kwadoya,
Kwaraguru Estate ,
Taula |
|
11,428 |
| |
Ndolwa |
Kwamnele, Chanika, Kofi, Mzundu, Komkole, Luive, Kwamenda, Komdudu |
|
16,070 |
| |
|
|
|
|
| Mazingira |
Mazingira |
Suwa, Amani, Mazingara |
|
11,810 |
| |
and Mkata |
Kwengahu,
Kitumbi,
Kwenkwale,
Mkata Magharibi,
Mkata Mashariki,
Manga |
|
21,425 |
| |
|
|
|
|
| Chanika |
Chanika |
Kwediyamba,
Kwenjugo Magharibi,
Malezi,
Kwenjugo Mashariki,
Kilimilang'ombe,
Kwedizando,
Kwenkambala,
Mdoe,
Kwamngumi,
Kivesa |
|
29,570 |
| |
Vibaoni |
Konje, Kwabaya, Kwamsaka, Msasa, Kideleko, Bangu |
|
18,707 |
|
|
|
|
|
| Mzundu |
Kabuku |
Kwedibago, Kabuku Nje, Kabuku Kaskazini, Msilwa, Kwedikwazu Magharibi, Kwedikwazu Mashariki |
|
9,883 |
| |
Mgambo |
Kabuku Mjini,
Kabuku Ndani,
Majani Mapana,
Komsanga,
Kwabojo,
Gendagenda,
Kwedihwahwala,
Chogo |
|
11,391 |
| |
Komkonga |
Mumbwi,
Tuliani,
Kwamachalima,
Komkonga,
Hoza |
|
13,590 |
| |
|
|
|
|
| |
|
|
|
|
Sindeni |
Sindeni, |
Kwafungo, Kwamkono, Mbuyuni, Kweisasu, Sindeni, Bongi |
|
13,706 |
| |
Kwamatuku |
Nkale,
Kwamatuku,
Kweingoma,
Komsala |
|
6,922 |
| |
Misima |
Msomera, Mzeri, Vibaya, Misima, Mbagwi |
|
13,292 |
| |
Kiva |
kweditibile, Zaruza, Kwedibangala |
|
6,807 |
| |
|
|
|
|
| |
|
|
|
|
Kwamsisi |
Kwamsisi |
Pozo, Kwamsisi, Kwedikabu, Mkalamo |
|
8,757 |
| |
Kwasunga |
Kwamdugwa, Kwamyanje, Kwasunga |
|
5,487 |
| |
Kwaluguru |
Magamba, Muungano "B", Kwamagore, Kibindu |
|
10,769 |
| |
|
|
|
|
Magamba |
Kang’ata |
Kwaluwala, Msaje, Madebe, Nyasa, Gole, Kilimamzinga, Kang'ata |
|
8,682 |
| |
Kwamkoje |
Kwamkunga, Kwamsangazi, Nkumba, Kwamsundi, Kwanyaje, Mbaragwe, Kwamchaga/ Tuliani |
|
16,019 |
7 |
19 |
JUMLA |
|
248,633 |
|
| Kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2002, kulikuwa na idadi ya watu 248,633 ambapo hadi kufikia 2008 idadi ya watu imeongezeka na kufikia 311,149. |