Wilaya ya Muheza ni moja ya Wilaya nane za Mkoa wa Tanga iko upande wa Kaskazini Mashariki mwa Tanzania. Wialaya ina jumla la eneo la kilometa za mraba 1,974 na inakadiriwa kuwa na watu 184,585 mwaka 2007. Wilaya inapatikana magharibi na kusini mwa Jiji la Tanga na imepakana na Mkinga upande wa Kaskazini, Pangani upande wa kusini na korogwe upande wa Magharibi. |
| Wilaya ina eneo lipatalo kilometa za mraba 1974. Hii ni sawa na watu 85 kwa kila kilometa ya mraba. Wilaya ina jumla ya Tarafa nne (4), kata 23, vijiji 100 na vitongoji 510 |
| Tarafa |
Kata |
Vijiji |
Idadi ya Kaya |
Idadi ya Watu 2007 |
Amani |
Kisiwani
(7) |
Mlesa,
Mkwinini,
Msasa,
Kisiwani, Mashewa,
Shebomeza, Kwemdimu |
|
|
| |
Misalai |
Misalai,
Marvera,
Mbomole,
Kwemwewe,
Mgambo,
Kazita,
Sakale |
|
|
| |
Zirai |
Zirai,
Kambai,
Kwezitu,
Kizerui |
|
|
| |
|
|
|
|
Bwembwera |
Mkumba |
Kiwanda,
Tongwe,
Bombani,
Kigumba,
Ubembe,
Kiwanjani
Nkumba na Kibanda |
|
|
| |
Songa |
Songa Batini,
Mkulumilo,
Kilongo,
Bwitini,
Mhamba,
Kwakibuyu |
|
|
| |
Bwembwera |
Msowelo,
Bwembera,
Mamboleo
Mianga |
|
|
| |
Kwafungo |
Makole,
Bagamoyo,
Kwafungo,
Mbambara,
Mandera,
Songa, Kibaoni,
Pangamlima |
|
|
| |
Potwe |
Potwe Ndondondo,
Kimbo,
Zeneti
Mpirani |
|
|
Ngomeni |
Pande |
Kibaoni,
Darajani,
Mlingano |
|
|
| |
Lusanga |
|
|
|
| |
Kigombe |
Msakangoto na
Kigombe Magharibi |
|
|
| |
Ngomeni |
Mkanyageni,
Ngomeni,
Kigongomawe |
|
|
| |
Misozwe |
|
|
|
| |
Kicheba |
Paramba,
Kwelubuye,
Kicheba |
|
|
| |
|
|
|
|
Muheza |
Tingeni |
Tingeni,
Mkinga, Mpaka,
Kwakifua
Mpakani,
Ngarani |
|
|
| |
Magoroto |
Gare,
Mwembeni,
Mgambo,
Magula |
|
|
| |
Mkuzi |
|
|
|
| |
Mtindiro |
|
|
|
| |
Kilulu |
|
|
|
| |
Magila |
Magila,
Mafuleta,
Misongeni, Mikwamba |
|
|
| |
Majengo |
Genge,
Michungwani,
Mdote,
Majengo Nje,
Majengo Kati,
Shauri Moyo,
Majengo Ndani |
|
|
|
| Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2002 wilaya ilikuwa na idadi ya watu wapatao 171,568 ambapo wanawake walikuwa 86,151 sawa na asilimia 50.1 na wanaume walikuwa 85,417 sawa na asilimia 49.9. |