Malengo
Baada ya kupata Uhuru mwaka 1961, Tanganyika na baadaye Tanzania kupitia uongozi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilijiwekea malengo yake makuu ili kupunguza na kuondokana na madhara yalitokana na ukoloni.
Waliokua Wakuu wa Mkoa
2011 -Meja Jenerali` (Mst) Saidi S. Kalembo
2006-2009 - Mhe. Mohamed Abdulaziz.
2003-2006 -Kapt. Jaka Mwambi.
1998-2003- Kapt. George Mkuchika
1996-1997- Mhe. Dkt. Hassy Kitine
1993-1996 -Mhe. Said Azan Aljabri
1986-1992 -Mhe. Bibi Halima Hamisi
1984-1988 -Mhe. Kanali Ayub Simba
1983-1984 -Mhe. Jenerali Tumainieli Kiwelu
1980-1983 -Mhe. Richard Wambura
1974-1980 -Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru
1972-1973 -Mhe. Omari Muhaji
1971-1972 -Mhe. Wilson Makinda
1969-1970 -Mhe. Balozi Waziri Juma
1968-1969 -Mhe. Rajabu Kundya
1961-1968 -Mhe. Jumanne Abdala
Dira
Kuwa taasisi bora
na yenye utaalamu wa hali ya juu katika kuwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kuboresha hali ya maisha ya wananchi na utoaji wa huduma kwa jamii.
